Jenga kurahisisha

Tunatengeneza tatuzi RAHISI & ZENYE THAMANI kutatua changamoto za kila siku.
Kuli
IoT
Uchunguzi Kifani

Tatuzi tunazojivunia

Uza

WEB, iOS , ANDROID

Rahisi, kilichojaa na chenye kubinafsishika. Ni kitendea kazi kilichoegemea mtandaoni ambacho kinakusaidia kusimamia dili zako, mauzo na hatua za kukabidhi bidhaa; hatima yake ni kunyanyua mauzo yako na uzalishaji!
uza.co.tz
Rocket Inc

Jiranileo RSVP

iOS , ANDROID

Kutana, sikiliza, jifunze na ushirikiane na waafrika kila siku kupitia soga za video mubashara. Kuwa huru, Jiranileo RSVP sio ya kulipia! Meet Afrika & Chat is a present-day take on African hospitality. Kila mmoja anakaribishwa kwenye meza yetu. Jiunge nasi kwa ladha za asili, uzoefu wa vitu mbalimbali na mazungumzo mazuri. Tunaunganisha watu kila siku kusimuliana hadithi zao katika mada yoyote.
Rocket Inc

Karibu tupate kikombe cha kahawa au chai huku tukijadili wazo lako.